Airtel nao wafanya yao tena

Tarehe 15,Halotel wanaanza kazi. Nawangoja kwa hamu
 
Asee halotel ni shida ukichkua lain,unapata dk 300 halot-halot,sms bila kkomo na mb 5312=5.3gb kwa mwez bt 2nazndua tar 15
 
Asee halotel ni shida ukichkua lain,unapata dk 300 halot-halot,sms bila kkomo na mb 5312=5.3gb kwa mwez bt 2nazndua tar 15

Sasa nao wasije kwa mikwara alafu wanaanza kuwaiga hawa wa sasa!
 
Kwa Tshs 500 Airtel OMG unapata 300mb kwa siku, achana na yatosha.

Airtel now ni MB 4

Ata ile MB 100 za bure za kuanzia saa 12 hadi saa 2 asubuhi NAYO WAMEISTOPISHA BILA TAARIFA..
Kama wewe ni mtumiaji wa airtel nunua vocha za UNI!! 1500/= unapata 1gb dk 140 na dk 5 mitandao yote kwa wiki!!! na kuna za mwezi ambazo ni 6000 4gb na madakika ya kutosha!!! haya maswala ya jero jero unaeza umwa kichwa ukichangaya na mgao wa umeme ndio unaeza hama hii nchi kabisa!!!
 
Kipindi cha uchaguzi hiki ccm imechukua fedha kutoka kwenye makampuni ya simu ndiyo maana wanafanya watakavyo
 
aiseee, ngoja tutajaribisha zari huko, ila dk 5 kwa mitandao yote nayo duh, hii ila imekaa sawa upande wa MB!
 
Mtandao wao unafikia maeneo yasiyokuwa na mawasiliano kama kata ya Nyanzwa iringa ambako vitunguu vinalimwa kwa wingi.
 
Asee halotel ni shida ukichkua lain,unapata dk 300 halot-halot,sms bila kkomo na mb 5312=5.3gb kwa mwez bt 2nazndua tar 15

Mtazindulia wapi?Hebu sema wadau tujiandae.Nitachukua line kibao niwagawie ndugu zangu wa karibu...
Nataka tufanye mabadiliko hawa airtel na wenzie tuwaweke pembeni kwanza watie akili.
 
Viatel nadhani ndo watakuwa mkombozi wetu huko tuendako kama itakavyokuwa kwa Lowasa

Tarehe 15,Halotel wanaanza kazi. Nawangoja kwa hamu

Ngoja ije Vietel

Mtazindulia wapi?Hebu sema wadau tujiandae.Nitachukua line kibao niwagawie ndugu zangu wa karibu...
Nataka tufanye mabadiliko hawa airtel na wenzie tuwaweke pembeni kwanza watie akili.
Lazima tuwe na matumaini.... japo naona hawa nao ni wale wale japokua voda wamezidi...pitia na hapa

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/943663-msaada-kuhusu-halotel.html
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…