BIG X
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 777
- 212
Wengi tumezoea kuingia yatosha. Lakini utakuta muda wa maongezi umeisha lakini MB za Internet hujatumia hata kidogo. sasa kwavile nakuwa nahitaji tena muda wa maongezi inabidi niingie yatosha tena. Nikiingia tena zile MB za awali zinafutika kabisa, sasa huwa zinaniumaga sana. Kwanini hizo MB zisijumlishe kwenye kifurushi kipya. Airtel yetu tunaipenda, mtusaidie kwenye hili.