si afadhali hata wewe ilikuwa mchana, mi kuna kipindi walifululiza kunipigia usiku tena muda uleule, halafu mtu umelala na ubavu wako, mwisho wake inakuwa kuanzisha ugomvi usio wa lazima maana mi nilikuwa napokea nikisikia ni wao nakata bila kuongea chochote, sasa mtu anaweza kudhani hutaki kuongea kwa sabubu nyingine kumbe ni ujinga fulani wa makampuni ya simu