A ashbuton grove Member Joined Aug 27, 2013 Posts 68 Reaction score 4 Aug 30, 2013 #1 Habari wana(jf)naomba mtu yeyote anayejua wakala mkuu yeyote wa airtel money au mtu anayefanya kazi kwa huyo wakala mkuu anisaidie kunielekeza na mawasiliano,asanteni nyote.
Habari wana(jf)naomba mtu yeyote anayejua wakala mkuu yeyote wa airtel money au mtu anayefanya kazi kwa huyo wakala mkuu anisaidie kunielekeza na mawasiliano,asanteni nyote.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Aug 30, 2013 #2 Sorry if I may ask. Wakala mkuu ndo anaeshughulika na kusajili mawakala wadogo, au?