Airtel Money..Huduma ya TIMIZA

Airtel Money..Huduma ya TIMIZA

Yaani nlikua nadaiwa nkaona nilipe mara moja ili nikope eti nyongeza ya mkopo ni elf tano nkaona usenge huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nyie sijui mnakosea wapi, mbona Watu tumefika laki 5 tena kwa muda mfupi tu.

Kiukwekli mimi nimefaidika na Airtel(timiza) kuliko Voda(M pawa)..nilianzia Mpawa kitambo sana ila wakakomea kwenye 35000, muda mrefu sana mpaka nikaamua kujaribu timiza..wao ndani ya miezi kama sita saba hivi nikafika mpaka laki tano...sijajua kama watapanda tena zaidi.

Ila chonde chonde walegeze riba na muda wa marejesho...maana duh...inaumiza kiukweli.

Mpesa wao wana masharti na riba nafuu ila hawaongezi kiwango.
 
Back
Top Bottom