Airtel Money..Huduma ya TIMIZA

Airtel Money..Huduma ya TIMIZA

May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
6,367
Reaction score
9,110
Kwanza niwapongeze kwa kuwa na huduma hii, ila naomba nitoe ushauri wangu kidogo.

Naomba muwe na utaratibu ambapo kama Mteja ataitumia huduma hii kwa muda mrefu na kwa uaminifu basi walau apate matunda tofauti na wenzake waliokiuka vigezo na masharti.

Kwa mfano kwa nini Mtu aliyetumia huduma hii, kwa miaka mitatu mfululizo kwa uaminifu asiongezewe muda wa kulipa mkopo sambamba na nafuu ya riba? labda sasa awe analipa ndani ya mwezi mmoja na riba ya 10% n.k.

Sitaki kuamini ya kuwa hamfahamu kama huo muda wenu wa kulipa kwa wiki mojia au mbili au tatu( kwa Mteteja kuchagua) na riba zake zile, kwamba zinaumiza sana. Walau basi kuwe na unafuu kadri Mtu napoonyesha uaminifu kwa muda mrefu, badala na hali ilivyo sasa ya nyie kujiangalia tu mnapata nini.

Kwa mtindo huo pia mtaweza kuwavutia Watu wawe waaminifu wakijua faida za kuwa waaminifu ni kubwa kuliko kuleta ujanja ujianja.
 
Wapumbavu tu hao wezi wakubwa ipo siku watakushangaza
Hapana Mkuu, mimi natumia hii huduma kwa muda sasa, ila tatizo ni hizo riba na masharti yanaumiza.
 
Mkopeshaji yeyote anaangalia maslahi yake kwanza.
 
Wanajibalance baba na hiyo ni beam balance,ukitikisa tu basi ita kula kwao,
Kwanza niwapongeze kwa kuwa na huduma hii, ila naomba nitoe ushauri wangu kidogo.
Naomba muwe na utaratibu ambapo kama Mteja ataitumia huduma hii kwa muda mrefu na kwa uaminifu basi walau apate matunda tofauti na wenzake waliokiuka vigezo na masharti.
Kwa mfano kwa nini Mtu aliyetumia huduma hii, kwa miaka mitatu mfululizo kwa uaminifu asiongezewe muda wa kulipa mkopo sambamba na nafuu ya riba? labda sasa awe analipa ndani ya mwezi mmoja na riba ya 10% n.k.
Sitaki kuamini ya kuwa hamfahamu kama huo muda wenu wa kulipa kwa wiki mojia au mbili au tatu( kwa Mteteja kuchagua) na riba zake zile, kwamba zinaumiza sana. Walau basi kuwe na unafuu kadri Mtu napoonyesha uaminifu kwa muda mrefu, badala na hali ilivyo sasa ya nyie kujiangalia tu mnapata nini.
Kwa mtindo huo pia mtaweza kuwavutia Watu wawe waaminifu wakijua faida za kuwa waaminifu ni kubwa kuliko kuleta ujanja ujianja.
 
Ukiangalia kiasi unachorejesha na mkopo mpya ni kama unajikopesha mwenyewe na hela yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nimewaomba waja na mtindo wa kulegeza masharti kadri Mtu anavyokopa, maana waweza kujikuta umewaachia kama milioni moja ndani ya kama mwaka hivi lakini masharti yanabaki pale pale.
 
Hapana Mkuu, mimi natumia hii huduma kwa muda sasa, ila tatizo ni hizo riba na masharti yanaumiza.
Wapumbavu hao wana 600K yangu wamenieleza habari ya masaa 72 ambayo kwa siku wanahesabu 10 toka ijumaa iliyopita na tatizo lilikuwa limtandao lao makosa yao yamenitia hasara mimi.

Nimewaanzishia uzi humu mbwa wakubwa hao hapa nasubiri zifike 21 days niwashitaki TCRA nile matunda makubwa mbwa kabisa wale
 
Duh, we jamaa inaonyesha ua hasira nao kweli kweli.

Kwa bahati nzuri mimi sijawahi kuingia nao kwenye mgogoro, zaidi tu nawataka walegeze masharti magumu ya TIMIZA ili niendelee na huduma zao bila stress.
 
Aisifuye mvua lazima imemnyea.
 
Ukiangalia kiasi unachorejesha na mkopo mpya ni kama unajikopesha mwenyewe na hela yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ingawa umeandika kifupi,lakini ukweli ndiyo huo.
Unajikopesha mwenyewe hela yako lakini faida wanachukua wao.
Na ban yao ukikiuka masharti sijui ni ya muda gani tu!
Nadhani yaweza kuwa ni ban ya maisha.

Ndio maana nimeona ni vizuri wakatanguliza busara mbele kwa Mteja anayetimiza masharti.

Maana kusema ukweli ukikopa na kulipa kwa mwaka mzima utakuwa umeshawaachia pesa nyingi kupitia riba.

Waanzishe utaatibu wa kulegeza masharti na riba kila baada ya muda kwa Wateja wa muda mrefu.
 
Hao wehu kwanza nilishagombana customer care wa airtel kuhusu huo ujinga wao na wananidai 67 elfu sasa kwasababu walinijibu vibaya siwalipi ng'o

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wehu kwanza nilishagombana customer care wa airtel kuhusu huo ujinga wao na wananidai 67 elfu sasa kwasababu walinijibu vibaya siwalipi ng'o

Sent using Jamii Forums mobile app
Mligombana kuhusu huduma ya TIMIZA ama? maana ishu za customer care ni janga la kitaifa...nimewahi kukerwa na hao customer care ila ni kwa huduma zingine sio timiza.
 
Timiza nilimpigia kumuuliza kwanini riba kubwa nyongeza ya mkopo ni ndogo kabisa yaani kuna siku nyongeza yangu ya mkopo ilikua 1500 nilichukia sana halafu namuuliza yule Dada ananijibu mashudu ...nikamwambia umemaliza mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nlikua nadaiwa nkaona nilipe mara moja ili nikope eti nyongeza ya mkopo ni elf tano nkaona usenge huu

Back
Top Bottom