mashalo
Member
- Jul 20, 2013
- 16
- 3
Nimekuwa mtumiaji mzuri wa Airtel Money kwa muda. sasa tangu walipokuja na slogan yao ya HAKATWI MTU HAPA, nimeshawahi kutumiwa pesa wakailamba hapohapo nilipouliza nikaambiwa tatizo lako linashughulikiwa ndani ya saa 24 itarudi na sasa mwezi unafika mwisho wa siku naambiwa eti hela haionekani, Sio Wizi Huu? Kibaya zaidi hawana Customer Care nzuri kwa wateja kana kwamba mteja kwao ni ---- mbona mitandao mingine kama VODACOM wako active, wakikuambia tunashughulikia tatizo lako ndani ya muda walioahidi wanatimiza ahadi? Airtel Money mna NINI? ACHENI WIZI