Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,197
Habari za saa hizi wakuu,
Mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network, nikajaribu tena page ikakataa kufunguka nikasema ngoja nicheki tatizo ni nini, kucheki naambwa sina salio nikajiuliza kulikoni nimeweka vocha muda huu hata sijatumia.
Hebu wanajamvii nisaidieni, hii huduma ya 400mb wamesitisha au inakuaje?
Asanteni.
huduma bado ipo, hata hapa ndo naitumia kureply post yako...jaribu kucheck inawezekana computer yako kuna downloads zilikuwa zinaendelea mfano; windows updates km ulikuwa hujawahi ku-update window, au torrents.
Hii ofa 400MB nikwa baadhi ya line siyo zote, sijui nikwanini. Mtandao upo poa kimtindo.Habari za saa hizi wakuu,
Mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network, nikajaribu tena page ikakataa kufunguka nikasema ngoja nicheki tatizo ni nini, kucheki naambwa sina salio nikajiuliza kulikoni nimeweka vocha muda huu hata sijatumia.
Hebu wanajamvii nisaidieni, hii huduma ya 400mb wamesitisha au inakuaje?
Asanteni.
naomba unisaidie jinsi ya kuunga hzo mb 400habari za saa hizi wakuu,
mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network, nikajaribu tena page ikakataa kufunguka nikasema ngoja nicheki tatizo ni nini, kucheki naambwa sina salio nikajiuliza kulikoni nimeweka vocha muda huu hata sijatumia.
Hebu wanajamvii nisaidieni, hii huduma ya 400mb wamesitisha au inakuaje?
Asanteni.
Labda ulianza kutumia iyo 2500 kabla ya bundle kuingia, hii mitandao siku hizi ukiweka bundle inabidi u-confirm kwanza. mimi asubuhi nimeweka bundle ya tigo mpaka sasa haijaingia!
I dont do with them now days why should I? Elf 15 wanakupa 1.5 GB, Zantel na Vodacom elf 20 unapata 5GB na ukitaka zaidi just elf 30 u get unlimited ya ukweli kweli! Why should I still buy their bundles? Aaaaah! To hell with em nilishatupa na line yao kabisa
Hii ofa 400MB nikwa baadhi ya line siyo zote, sijui nikwanini. Mtandao upo poa kimtindo.
Salio uliloangalia ni la bundle au ulicheki salio la vocha? Kama uliweka vocha yenye thamani ya Tsh. 2,500/= na ukaomba hizo 400MB then ikakubali,maana yake umeshafyekwa Tsh. 2,500/=. Kwahiyo kujua salio, kama una default dial up program ya hiyo modem ya airtel(huawei), nenda airtel menu, enter *154*44#, then chagua lugha(1 for kiswahili), then chagua 2(salio la bando),subiri majibu. Otherwise, kama walivyosema wadau wengine, kama umeruhusu automatic updates kwa softwares mbalimbali kwenye pc yako, lazima hizo 400MB zitaliwa kiasi kikubwa.Habari za saa hizi wakuu,
Mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network, nikajaribu tena page ikakataa kufunguka nikasema ngoja nicheki tatizo ni nini, kucheki naambwa sina salio nikajiuliza kulikoni nimeweka vocha muda huu hata sijatumia.
Hebu wanajamvii nisaidieni, hii huduma ya 400mb wamesitisha au inakuaje?
Asanteni.
I dont do with them now days why should I? Elf 15 wanakupa 1.5 GB, Zantel na Vodacom elf 20 unapata 5GB na ukitaka zaidi just elf 30 u get unlimited ya ukweli kweli! Why should I still buy their bundles? Aaaaah! To hell with em nilishatupa na line yao kabisa
Mkuu hebu nizibue masikio leo.
Una maana gani hapo kwenye red? Kwa hiyo zile 2gb(kama sikose) kwenye voda zikiisha unaendelea kupata maximum speed kama kawaida,au mimi ndo sijakuelewa?
30K ni unlimited ila inakuwaga slow wakati mwengine..
wabongo bwana...teh teh tehmiguu yako mizuri jamani lily maua
tteh eh tehh!me msauzi mwana!iko poa si unaona mpk nimesahau alichouliza?wabongo bwana...teh teh teh
miguu yako mizuri jamani lily maua