Airtel intanet

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Intanet airtel bure inakuaje usiku coz naiungaga bt haikubal
 
M2 wangu walisha toa hiyo ofa toka mwaka jana mkuu.
 
washairejesha wewe anza tu kutumia kuanzia saa tano usiku kuangalia mb za bure zako piga *102*6#
 
We kama hujui c utulie au niaje wewe
 
bado naipata mchana huu tokea asubuhii full makamuzi
 
Tekenya
inakuwa imeshaungwa t automatic kaka mida ya saa tano
 
Mbona siwaelew mara ipo mara imeisha
 
Tekenya
inakuwa imeshaungwa t automatic kaka mida ya saa tano
Aksante , ngoja nikalale ili niiamkie badae kaka, so ni kila siku au ukimaliza MB zako basi? maana naona nimeangalia salio wanasema nina mb 200 n2mie kuanzia saa 5usiku mpaka saa 12 asubuhi. je hata kama huna salio hata kidogo watakuunganisha? na je kama bando bado lipo hawakati kwenye bando mda huo?
 
Ukimaliza mb ndo hadi kesho yake bwana tekenya ha ha ha
 
Kama una bando ya ela hawakukat tena kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…