Niliwahi kusikia kuwa hapa nchini kuna chama cha walaji (Consumers' association), kama wapo kweli wanapaswa kutoa mchango mkubwa...ili tupate mikataba rasimi ya kutumia mitandao ya simu, umeme, maji, nakadhalika. Ili mtoa huduma ama mlaji hasipotimiza wajibu wake awajibishwe haraka sana.[/QUOTE
Labda wanasaidia lakini huenda hatujui taratibu zao