Afadhali airtel, tigo wamezidi mimi laini yangu imefungiwa zaidi ya miezi mitano lakini nikipiga simu haipokelewi na laini ipo hewani bahati nzuri nina laini mbili kwenye simu moja
Afadhali wewe inaita,Mimi nimejaribu kupiga 100 nakufuata maelekezo ajabu hakuna maelekezo ya kuongea Na huduma kwa wateja!Siku choka nikaenda ofisini kwao hapa Mwanza eti Na wao wakawa wanashangaa!! Nafikiri Kuna haha ya kuhama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.