Sidhani kama sasa hv inakubali coz walishasema kwamba ofa hyo itasitishwa nadhan tar 24 na kwamba kungekuwa na ofa nyingine kabambe kwa ajili Xmass na mwaka mpya,sasa sijui imeishia wapi!