Jamani nimenunua moderm ya airtel nikitegemea kupata internet free kwa miezi sita.ajabu leo imegoma mpaka ikabidi ninunue kifurushi cha siku ya leo.Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia labda kuna jinsi ya kujiunga
sio bure kihivyo. ununue modem. line yako iwekwe kwenye list ya promotion. kila mwezi utapewa 200MB na sio zaidi kama utaweka sh.6000. ni lugha za biashara tu.