MTAMBOKITAMBO
Senior Member
- Jun 2, 2011
- 194
- 39
Ndio,mwanzoni nilidhani ni matapeli, kumbe ni kweli!!!!
Trick wanayotumia ni kukuambia ongeza salio na upate 200mb za internet bure kuanzia saa 6 usiku-saa 12 asubuhi! Suala ni kwamba sio lazima uongeze salio ndio upate hizo MB za bure! Cha msingi ni usijiunge na INTERNET BUNDLE yeyote na hizo 200mb zitakuwa zako kila usiku!!!!!!!
We ikifika saa 6 usiku chomeka modem yako na line ya Airtel na fanya mambo yako!!!!!!!!!!!
Arigato!
Ukisaidiwa,gonga THANKS wajameni!
Ndo naitumia muda huu mkuu,nmekua naitumia tangu wiki iliyopita,nmeona sio vizuri kuwabania wana JF wenzangu!yakweli ayo mkuu?...ngoja nijaribu leo
Mi nina line zangu 4 za Airtel,jumla napata 800mb kila usiku,maisha rahiiiiisi!Wakati unauliza,mi naendelea kuzitumia!LolMkuu ni ya kwl unayoyasema? coz mie nakumbuka offer kama hii ilishawahi kuepo na ilikuwa lazima uongeze salio ndio upate hzo mb 200... au wamejichangaya hao airtel na njia haswa ya kuwa trick ni ipi? sio kwamba na kupinga but bali nataka nijui zaidi how can this be possible
Ndio,mwanzoni nilidhani ni matapeli, kumbe ni kweli!!!!
Trick wanayotumia ni kukuambia ongeza salio na upate 200mb za internet bure kuanzia saa 6 usiku-saa 12 asubuhi!Suala ni kwamba sio lazima uongeze salio ndio upate hizo MB za bure!Cha msingi ni usijiunge na INTERNET BUNDLE yeyote na hizo 200mb zitakuwa zako kila usiku!!!!!!!
We ikifika saa 6 usiku chomeka modem yako na line ya Airtel na fanya mambo yako!!!!!!!!!!!
Arigato!
Ukisaidiwa,gonga THANKS wajameni!
Mi nina line zangu 4 za Airtel,jumla napata 800mb kila usiku,maisha rahiiiiisi!Wakati unauliza,mi naendelea kuzitumia!Lol
LMAO! aya bnaMi nina line zangu 4 za Airtel,jumla napata 800mb kila usiku,maisha rahiiiiisi!Wakati unauliza,mi naendelea kuzitumia!Lol
Safi sana...
mkuu we ni kiboko, line nne? ulali? au ndio unakesha ukibadilisha line? teh teh teh! hata hivyo jana usiku nili enjoy kidogo kwa kupata net ya bure japo speed yake haifikiiya tigo ila cha bure ni bure tu...Mi nina line zangu 4 za Airtel,jumla napata 800mb kila usiku,maisha rahiiiiisi!Wakati unauliza,mi naendelea kuzitumia!Lol
Yaani kwa maana hiyo tusilale tusubiri offer?
Domo arigatogozaimashita..... Wajapani wakikuona unavyo haribu lugha yao watakutoa ng'euArigato gozaimashtaa!
Offer gani inamasharti magumu kiasi hicho, nitaongeza salio lakini offer yao siitaki kazi yangu mi sio mlinziYaani kwa maana hiyo tusilale tusubiri offer?