Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,770
- 1,555
Wadau kuna yeyote mwenye maujanja anisaidie plz,..........Ni kuhusu ile ofa ya saa 6 ucku ya mb 200 za bure za airtel, ikifika muda huo hawa jamaa huwa wanashusha connection speed toka HSPDA/WCDMA hadi EDGE ambayo hadi lisaa limoja unakuta nimedownload 15mb tu....hii cjui ni kwangu tu au wengine pia inawakuta...kama ni hivo kuna njia yeyote ya kuzuia modem ikabaki ktkt HSPDA?
Kaka ujanja huo naufahamu..ishu ninayosema ni kuwa ikifika muda wa ofa yao ya mb 200 AIRTEL wenyewe wana shusha speed yao toka HSDPA/WCDMA hadi EDGE BAND sasa sijui kama wadau wengine ni hivyo kwao au maeneo nayokaa mm tu hioEDGE nilikaa saa 1 nikashusha mb15 tu nikasusa nikaenda lala ......sasa sijui kuna maujanja ya kuirudisha toka EDGE mpaka HSDPA maana nikitumia njia ya tools/option then network kubadili mtandao wao unakuwa haupatikani kabisaKatika menu hapo juu bonyeza option/tools then click network kutakua na option 3 gsm, wcdma au both we chagua wcdma ur done
Kaka ujanja huo naufahamu..ishu ninayosema ni kuwa ikifika muda wa ofa yao ya mb 200 AIRTEL wenyewe wana shusha speed yao toka HSDPA/WCDMA hadi EDGE BAND sasa sijui kama wadau wengine ni hivyo kwao au maeneo nayokaa mm tu hioEDGE nilikaa saa 1 nikashusha mb15 tu nikasusa nikaenda lala ......sasa sijui kuna maujanja ya kuirudisha toka EDGE mpaka HSDPA maana nikitumia njia ya tools/option then network kubadili mtandao wao unakuwa haupatikani kabisa