VANCOUVER
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 336
- 20
Ndugu Jaffari khamis mwenye namba 0755970051 na 0785100769 akishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa Airtel call centre wamekua na tabia ya kuchukua hela za watu zinazobaki kwenye simu.
Tukio jingine limetokea hii leo muda mfupi uliopita.
Chukueni hatua za tahadhari juu ya wizi huu maana napiga huduma kwa wateja na hakuna msaada wowote unaopatikana.
Tukio jingine limetokea hii leo muda mfupi uliopita.
Chukueni hatua za tahadhari juu ya wizi huu maana napiga huduma kwa wateja na hakuna msaada wowote unaopatikana.