Airtel babalao

Kuna kifurushi kinaitwa Combo unapata dakika za kutosha na MB za kutosha.
Mfano mi napata dakika 550 mitandao yote GB 6 na SMS 500 mwezi mzima kwa shilingi 10,000/= tu.
Mambo ni motoooo
 
Kweli hawa wako vzr kuliko tigo,voda na nk,mi naunga kifurushi cha 1000 siku 3 napata Gb 1 ya kweli sio zile Gb za uongouongo km voda unaangalia video tatu youtube eti kifurushi kinakata [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmetoka kulipia DSTV bila makato yoyote.
Airtel ni babalao
 
Tabasamu na GB10 kwa Tsh10,000 tu, kuperuzi upendavyo mwezi mzima. Piga *149*99# chagua 5 kisha Mwezi kujiunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ