Airtel acheni uhuni

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
Habari zenu Wakuu: Nawasilisha JF
Airtel wamekuwa wahuni wameshindwa kutupa huduma kwa wakati, na sasa wametoa huduma ya customer care mwenye Airtel asithibishe kupatikana huduma kwa wateja hakuna wameitoa imekuwa ni shida mi nimenzi wa Airtel hili limeshinda nataka kuwareport TCRA kama wanashindwa india karibu watupishe nakutuachia nchi yetu.
 
Airtel kazi imeshawashinda bora wafunge tu ofisi
 
siyo airtel tuu, makampuni ya cmu katika nchi zetu hizi wanavuna sana wanatunyonya sana tena . ukilinganisha rates za nchi zingine huko walikotoka utashangaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…