JuniorDarilson_
Member
- Feb 19, 2024
- 50
- 60
- Thread starter
-
- #61
Brother voda jau sana mkuu wana contract ya 24 months alfu huduma yao ni postpaid yani ni lazima ulipie kila mwezi usipo lipa wanakudaiYa voda π₯π₯π₯ππ nilikuwa na download movie ya gb 5 ikaishia njiani nililia sana wifi ika ganda
Yeye na mwenzie tigo ndio michezo Yao wanapenda sana kuweka biliBrother voda jau sana mkuu wana contract ya 24 months alfu huduma yao ni postpaid yani ni lazima ulipie kila mwezi usipo lipa wanakudai
Ishu hawa isp wengine bei sana afu speed ndogo voda na airtel ndo hivyo sitazigusa tena. Kuna ttcl na net solution bei zao rahisi afu speed nzuri zote bei za 55k 20mbps ila maskani kwangu net solution haijafikaTumia provider mwingine tu Hawa TTCL ni miyeyusho sana
Watu wa Dar mna matatizoYeye na mwenzie tigo ndio michezo Yao wanapenda sana kuweka bili
Bora hao tu mie hiii router yangu mwezi ujao silipiii TenaIshu hawa isp wengine bei sana afu speed ndogo voda na airtel ndo hivyo sitazigusa tena. Kuna ttcl na net solution bei zao rahisi afu speed nzuri zote bei za 55k 20mbps ila maskani kwangu net solution haijafika
Tajiri depooo huku dar bili tunalipia kwenye maziwa na maji ya kunywa tu ππWatu wa Dar mna matatizo
Sasa umekula wali wa mama ntilie, ni mbaya ni mzuri. Lazima ulipe
Ungetaka mzuri zaidi ungeenda Hoteliniβ¦
WeziTajiri depooo huku dar bili tunalipia kwenye maziwa na maji ya kunywa tu ππ
ππ€£ππππππ Kuiba ni dhambi my sisterWezi
Yan Dar kila mtu ni mwizi
Nimevutiwa na hilo tangazo la deriv
VibakaWezi
Yan Dar kila mtu ni mwizi
Sasa unadhani namna hii KAMPUNI itapiga hatuaSiyo kirahisi RAHISI tu ! Eti unafanyiwa configuration Bure Bure!.... hivi hivi tu kama wanavyodai hao TTCL... Waongo!
Fuata protocol... Ukae mwaka unasubiria kufanyiwa configuration...!
Vunja protocol!... Kunjua mkono... Unafungiwa ndani ya siku moja!
TTCL siwataki kabisa hata kuwasikiaBro bora upate ttcl ata ikitokea changamoto ya mtandao, hujutii sana coz price yao rahisi na speed yao fair kwa kwel 20Mbps kwa 55k we acha. mi rafiki yangu anatumia ttcl (t-fiber) kila siku naendaga kushusha mizigo na speed iko vzuri yani stable
Mi natumia bila tatizoNilisha achana nao kitambo niliwarusishia router yao waliniambia ukifisha gb 1200 speed inapingua. Alfu sasa mi ni mtu wakudownload large files daily. So sikuweza kuendelea na huduma yao
Brother voda jau sana mkuu wana contract ya 24 months alfu huduma yao ni postpaid yani ni lazima ulipie kila mwezi usipo lipa wanakudai
Yeye na mwenzie tigo ndio michezo Yao wanapenda sana kuweka bili
Natumia 5G ya Airtel ni kero kwwnye speed, nayaka nihamie Vodacom.Unajua ndio mana VODA hapo awali walikuwa hawataki kuwafungia watu BINAFSI au vibiashara uchwala
Walikuwa wanataka KAMPUNI tu na ilikuwa lazima uambatanishe TIN na LESENI YA BIASHARA
Wanajua WABONGO wengi magumashi sana katika kulipia HUDUMA za kila mwenzi kwannza hawalipi kwa wakati mpaka wakatiwe HUDUMA
VODA kam una BIASHARA ya kuungaunga au kikampuni UCHWALA SUPAKASI hautaiweza itakutesa tu
Mwisho utawachukia kwenye GHALAMA lakini HUDUMA zao i uhakika hawana mbambamba
Kama huna shida ya kulipia 120 kila mwezi wako poa. Ila kumbuka hawazimi internet itaendela kuwepo wao watakudai tu hela yao sio kma airtel ukinunua tarehe flani internet itaisha tarehe flani so mpaka ww mwenyewe ukijickia kununua tena, voda wao internet itaendelea kuwepo watakutumia tu bill mwisho wa mwezi yani kiufupi voda ni postpaid na airtel ni prepaid. Nadhani utakua umenielewa mkuuNatumia 5G ya Airtel ni kero kwwnye speed, nayaka nihamie Vodacom.
Voda wako je?
Hii iko je mkuu?Gb 800, ulikuwa unaidownload Dunia!? Na vyote vilivyomo!?
Tumia TTCL ni unlimited! unlimited kwelikweli!... Sio hao vibaraka wa nape! 20mbps downloading 20mbps uploading speed as well
Natumia wifi router yao mkoani... Ni 55,000 Kwa mwezi.
GB800
Naunga mkono hoja kakaKama huna shida ya kulipia 120 kila mwezi wako poa. Ila kumbuka hawazimi internet itaendela kuwepo wao watakudai tu hela yao sio kma airtel ukinunua tarehe flani internet itaisha tarehe flani so mpaka ww mwenyewe ukijickia kununua tena, voda wao internet itaendelea kuwepo watakutumia tu bill mwisho wa mwezi yani kiufupi voda ni postpaid na airtel ni prepaid. Nadhani utakua umenielewa mkuu