JuniorDarilson_
Member
- Feb 19, 2024
- 57
- 71
Umetumia gb ngapi mpaka saa hii
GB800Umetumia gb ngapi mpaka saa hii
Kaka we acha tuhuwa wanatuona sisi ni kondoo kutudanya.
110 30mbpsHio ni ile 5G Router? Unalipia sh ngapi kwa mwezi?
Nishatumia voda supa kasi 5g na hawana hio kituNi lazma wafanye hivyo, kampuni kalibia zote Huwa Wana speed throttling.
Hata fiber nayo speed inapunguwa users wakiwa wengi.Unlimited ya kweli labda kama fiber inafika kwako ila hizi za minara ya simu ngumu maana wengi mnakua mna share bandwidth ya mnara na mkiwa wengi ni majanga kwao
Kaka hii mkoani Ina shida vizuri??Hata fiber nayo speed inapunguwa users wakiwa wengi.
Binafsi ni mtumiaji wa Airtel kwa zaidi ya miezi 6 lakini sijawahi kukutana na hiyo changamoto
Matumizi yangu kwa mwezi si chini ya 1TBView attachment 2917009
Mikoani tumia Superkasi ya Vodacom.Kaka hii mkoani Ina shida vizuri??
Users kwenye hio bandwidth uliyopewa au wateja wote wa hilo eneo?? Kwa airtel sijajua kwenye 5G sasa ila chini ya hapo ilikua lazima ikifika kiwango fulani wanapunguza speedHata fiber nayo speed inapunguwa users wakiwa wengi.
Binafsi ni mtumiaji wa Airtel kwa zaidi ya miezi 6 lakini sijawahi kukutana na hiyo changamoto
Matumizi yangu kwa mwezi si chini ya 1TBView attachment 2917009
Un limited Wana bei gani Kaka??Mikoani tumia Superkasi ya Vodacom.
Hata fiber nayo speed inapunguwa users wakiwa wengi.
Binafsi ni mtumiaji wa Airtel kwa zaidi ya miezi 6 lakini sijawahi kukutana na hiyo changamoto
Matumizi yangu kwa mwezi si chini ya 1TBView attachment 2917009
Panel tu ya Router yako ina muonekano tofauti na yangu.