AIRTEL 5G ROUTER

AIRTEL 5G ROUTER

kingphisher

Senior Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
119
Reaction score
226
Wakuu habarini za wakati huu, ninahitaji router ya Airtel, kuna nyingi nimeona zinauzwa 110,000.
naomba mnijuze mambo yafuatayo.

je, hiyo 110,000 ni bei ya router(device) au ni ya vifurushi?
japo sina uhakika, nimesikia eti kuna hizo routers ambazo vifurushi vyake ni 70,000/= kwa mwezi.
naomba mnijulishe wakuu.
nataka router ya 10mbp/s.
au kama kuna mtu anaweza kunipa full details na uchanganuzi wake, naomba anisaidie.
nahitaji router nina laki moja.
 
Kama pesa yako haina kazi kaitoa zakah.

Hayo madude ni ya ovyo kupita maelezo.
 
110 laki unanunua kifurushi ile device ni bure

Airtel wanasumbua mno kwenye mtandao bora ununue voda

10mbps kifurushi hiki ndio unalipia 70 elfu kwa mwezi
 
110,000/= unapewa router ikiwa na kifurushi cha mwezi 30mbps

Mieizi inayofuatia ndo utalipia kifurushi unachokimudu vipo vya bei tofuauti na speed tofauti
shukrani mkuu.

unaweza kuwa na namba za wakala wao uniunganishe nao?
nipo Dar Ubungo
 
jamani, hamna wakala wa airtel humu aniletee router hapa riverside?
 
110 laki unanunua kifurushi ile device ni bure

Airtel wanasumbua mno kwenye mtandao bora ununue voda

10mbps kifurushi hiki ndio unalipia 70 elfu kwa mwezi
Nu kwako tu, wengine tunaitumia vzr tu.
 
Back
Top Bottom