paparazimkuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,088
- 1,434
Siku hizi hazipatikani airtel hawazitoi.
Wanatoa zile za kufungiwa ukutani tu.
Hii unapata na powerbank yake na chaja.
Inapaatikana ubungo
Bei 40,000
Mawasiliano 0765447055
70/monthBei ya vifurushi vyake
kuanzia 70,000 unapataBei ya vifurushi vyake
Vipi ufanisi wake?Hii router kwa ni portable unaenda nayo popote
Siku hizi hazipatikani airtel hawazitoi.
Wanatoa zile za kufungiwa ukutani tu.
Hii unapata na powerbank yake na chaja.
Inapaatikana ubungo
Bei 40,000
Mawasiliano 0765447055
Hazina tatizo lolote siku zote 30 unatumia na 5g inakamata vizuri tu..Vipi ufanisi wake?
Maana kuna nazoona zinalalamikiwa au ni zile ndogo
upo sahihi70/month
karibu
Vp pamoja na bandoHii ni nzuri sana kwakweli, ila Mimi nilinunua 100k
100k wanakupa na kifurushi cha 100k pia so router ni bureHii ni nzuri sana kwakweli, ila Mimi nilinunua 100k