AirTanzania yakanusha kusitisha safari zake wilayani Chato

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,223
12,943
Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) Imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa imesitisha safari zake wilayani Chato.

Ikumbukwe sio mara ya kwanza kuibuka kwa minong'ong'ono kama hii kuwa airtanzania inasitisha safari zake Chato, huko nyuma kuliwahi kuibuka picha za uwanja wa ndege wa chato ukidaiwa kuwa na nyufa, pia Chato imekumbwa na kashfa mpaka ya Bank ya CRDB kufunga tawi lao na baada CRDB walikanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli na bado wanaendelea kutoa huduma Wilayani humo.

View attachment 2192171

Screenshot_2022-04-18-20-09-05-88.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) Imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa imesitisha safari zake wilayani Chato.

Ikumbukwe sio mara ya kwanza kuibuka kwa minong'ong'ono kama hii kuwa airtanzania inasitisha safari zake Chato, huko nyuma kuliwahi kuibuka picha za uwanja wa ndege wa chato ukidaiwa kuwa na nyufa, pia Chato imekumbwa na kashfa mpaka ya Bank ya CRDB kufunga tawi lao na baada CRDB walikanusha taarifa hizo kuwa sio za kweli na bado wanaendelea kutoa huduma Wilayani humo.View attachment 2192171View attachment 2192172

Sent using Jamii Forums mobile app
Chato imekuwa wilaya lini?!
 
Maweee! hiyo taarifa ni kweli ila sema tu biashara!! wanaibembeleza lkn chato hakuna wenye hela wengi km bukoba kwa hiyo wasiogope!! hawajui matumiiz ya ndege....hata ivo

jiwe alikuwa na tamaa za kishamba sana, alidhani u rais ni kuchota tu na kufanya anavyohisi ni sawa...... yaaani jiwe ni rais wa kwanza mbinafsi sijawahi ooona! tena sasa ubinafsi wa kishamba sana tu!

alidhani ukiwa na Uwanja mkubwa ndege za kimataifa zitatua tu km wendawazimu!.......Hakujua Bongo. Musoma,Arusha zimejijenga zenyewe sababu za kijiografia, kisiasa, miaka takribani 100 huko nyuma!

Mfano Musoma mbali na muasisi, Mpakani na nchi tajiri kenya, bali wakurya walikuwa ni wapiganaji mahiri wa KAR! wepesi wao wa kutumia bunduki walichangia pakubwa ushindi wa UK!...Arusha utalii, Mwanza ..Almas, dhahabu,

asa uchochoro km wa chato jamani mweee!!........... mtu atue hapo aende wapi km siyo kifo???...lile jamaa akili ilikuwa imeshaooza kabisaaaa!! alikuwa anakurupuka kimaskini sana!! kuua, kutaka kufunga, kujimwambafy!
 
Back
Top Bottom