Mkae mkijua RyanAir, Thomas Cook, Easy Jet ni cheaper flights na wakati huu wa recession wanakuwa affect badly kwasababu abiria wanaosafiri na ndege hizo ni wachache. ndio maana wanakuja alot of money making schemes. Walikuja na charge ya ukiwa mnene unalipa siti mbili, kwenda ****** ndani ya ndege ulipie na vitu venginevyo kibao. Ndio maana mie nitasafiri tu na BA, Qatar, na ndege zenginezo five stars, maana unapata value for money