Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Waswahili biashara bado sana.Sio huko tu hata biashara nyingine.Sera ya ujamaa ilituharibu sanaMnaorentisha watu Airbnb Bongo 90% bora mfunge tu mfungue hostel. Hamjui kabisa how the online world works. Nimesafiri nchi chache zingine Africa but none nimekutana na ukuda wa Bongo. Jaman hii huduma ya kuwa online 24/7 Km huwezi ajiri mtu wa kuwa online at least before your place haijawa booked. Unabook sehem imekubaliwa na hela imekatwa then limtu halirespond sa cjui anajua Shangazi yake anakuja ambaye ashawahi kufika; if that's not enough message hajibu mpk uwatafute Airbnb and unapiga cm yake oh sehemu bado ina mtu???[emoji35][emoji35][emoji35] imagine air bnb Km 10 I tried Dar upuuzi huo huo. Hawajibu Hamna kitu Sasa imagine mzungu anayetoka Ulaya??? Bora Lodge tu. Kenya na SA hukuti huu ukuda in fact Nairobi nilikaa sehem hata uyo owner sikumuona ilikuwa kuwasiliana tu na kuelekezana. Bongo wanadhan izo air bnb Km picha ya ukutani tu. Tumelala sana.
Inabidi zibinafsishwe!Mnaorentisha watu Airbnb Bongo 90% bora mfunge tu mfungue hostel. Hamjui kabisa how the online world works. Nimesafiri nchi chache zingine Africa but none nimekutana na ukuda wa Bongo. Jaman hii huduma ya kuwa online 24/7 Km huwezi ajiri mtu wa kuwa online at least before your place haijawa booked. Unabook sehem imekubaliwa na hela imekatwa then limtu halirespond sa cjui anajua Shangazi yake anakuja ambaye ashawahi kufika; if that's not enough message hajibu mpk uwatafute Airbnb and unapiga cm yake oh sehemu bado ina mtu???π‘π‘π‘ imagine air bnb Km 10 I tried Dar upuuzi huo huo. Hawajibu Hamna kitu Sasa imagine mzungu anayetoka Ulaya??? Bora Lodge tu. Kenya na SA hukuti huu ukuda in fact Nairobi nilikaa sehem hata uyo owner sikumuona ilikuwa kuwasiliana tu na kuelekezana. Bongo wanadhan izo air bnb Km picha ya ukutani tu. Tumelala sana.
Ishu nyingine ni usafi wa matandiko na uelewa wa wanaokuja kuhudumia.Pole sana Tanzania customer care tuko zero kabisa, na sio hii tu ni Tanzania tu peke yake mteja anakuwa kama omba omba. Ni Tanzania tu hata ukienda Bank wewe kama omba omba, Tanzania tu ofisi yoyote ya kutoa huduma unabaki kama omba omba tu, ni Tanzania tu mteja ni mnyonge tu hata ukipiga foleni sehemu kinyonge tu.
Kuna moja iko kunduchi beach iko vizuri kinoma pia wako online muda woteMnaorentisha watu Airbnb Bongo 90% bora mfunge tu mfungue hostel. Hamjui kabisa how the online world works. Nimesafiri nchi chache zingine Africa but none nimekutana na ukuda wa Bongo. Jaman hii huduma ya kuwa online 24/7 Km huwezi ajiri mtu wa kuwa online at least before your place haijawa booked. Unabook sehem imekubaliwa na hela imekatwa then limtu halirespond sa cjui anajua Shangazi yake anakuja ambaye ashawahi kufika; if that's not enough message hajibu mpk uwatafute Airbnb and unapiga cm yake oh sehemu bado ina mtu???[emoji35][emoji35][emoji35] imagine air bnb Km 10 I tried Dar upuuzi huo huo. Hawajibu Hamna kitu Sasa imagine mzungu anayetoka Ulaya??? Bora Lodge tu. Kenya na SA hukuti huu ukuda in fact Nairobi nilikaa sehem hata uyo owner sikumuona ilikuwa kuwasiliana tu na kuelekezana. Bongo wanadhan izo air bnb Km picha ya ukutani tu. Tumelala sana.
Kuna jamaa alitoa uzi wake wa malalamiko kwa Azam media. Ajabu kuna jamaa akareply kua mleta uzi angeshukuru kwa kuletewa hiyo huduma.Pole sana Tanzania customer care tuko zero kabisa, na sio hii tu ni Tanzania tu peke yake mteja anakuwa kama omba omba. Ni Tanzania tu hata ukienda Bank wewe kama omba omba, Tanzania tu ofisi yoyote ya kutoa huduma unabaki kama omba omba tu, ni Tanzania tu mteja ni mnyonge tu hata ukipiga foleni sehemu kinyonge tu.