Mimi nilidhani ni gwaride la ajabu sana. Kumbe ni kitu hata sungusungu au Polisi Jamii wanaweza.
Kwanza hilo lao hata halivutii. Ungeona lile la Sudan ya Albashir ndio ungefurahi. Clip yake ninayo ila tu sina utaalam wa ku upload hapa
waingize kwenye vyombo vyao harafu wakupigie gwaride uone. wajikakamue kimikwala hapo wakati wao wamezoea kucheza hewanimara nyingi bondia mwenye mbwembwe sana hakuna kitu