Air Tanzania tunaachwa na ndege abiria amesha-check in

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,018
1,147
Sio kitu cha kawaida,

Tangazo la kuboard limeitwa mara moja, abiria wengi hawajasikia. Tumeitwa kwa majina 5 min before departure time! Tunafika mlangoni tuaambiwa ndege imeshaondoka. Five minutes before departure na wameacha abiria. This is not fair, unaruhusu vipi ndege kuondoka kabla ya abiria wote hawaja board.

Kuna michezo ya kihuni inafanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom