Mwendo Safi
Member
- Oct 27, 2017
- 62
- 85
Kettle calling pot black.Ukizingatia shirika lenyewe lipo kwenye nchi maskini, inauma sana kwanini walijitutumua na kuangukia pua, yaani pole zao.
Kettle calling pot black.
Kuna mengine ukiwa maskini usijitutumue sana, leo hii kwenye kampeni mumeshindwa kueleza kwanini mlihangaika kununua mindege ambayo haijabadilsha chochote, huku mkitelekeza mambo mengi sana ya maana.
Kikwete alisema ukiona adui yako anakulaumu kwa kufanya Jambo flani na kukushauri jengine ujue unapatia....HV kwani hatujui nyie nyang'au mlivyo sabbotage air Tanzania na precisiona Air kuokoa ujing wenu...Hadi mkawa mnachewesha ndege za mizigo za klm , Turkish airlines na freighter nyengine zikija Nairobi from Tanzania halafu mizigo ikiharibika ziishie kwenu....Magu kashawaotea na Sasa maharage na nyama zetu tutaanza peleka wenyewe nje....nyie endeleeni peleka zao lenu la biashara la mirungi nyie wakoraKuna mengine ukiwa maskini usijitutumue sana, leo hii kwenye kampeni mumeshindwa kueleza kwanini mlihangaika kununua mindege ambayo haijabadilsha chochote, huku mkitelekeza mambo mengi sana ya maana.
Nyinyi mnaposikitia KQ na kuleta ripoti mbalimbali kuhusu namna inavyopata hasara huwa mnafikiria kuhusu ATCL? Wewe ndio yule nyani asiyeona kundulehaijabadirisha chochote!!!![emoji28][emoji28].
ulitaka ikubadirishie ratiba ya kwenda chooni ndipo uone mabadiriko??sikitikia KQ kwanza ndipo uifikirie ATCL.
haijabadirisha chochote!!!![emoji28][emoji28].
ulitaka ikubadirishie ratiba ya kwenda chooni ndipo uone mabadiriko??sikitikia KQ kwanza ndipo uifikirie ATCL.
Mlijikanganya sana kwenye mindege, ilipaswa mtafune kwa urefu wa kamba yenu kwenye level yenu, hii aibu kwa kweli.
Eti Tanzania sio nchi masikini??? 😂 😂 😂. Kwa hivyo wewe uko na uelewa kushinda mashirika ya kimataifa yanayoorodhesha Tanzania katika kundi la mataifa masikini?? Udanganyika ni ugonjwa usiokuwa na tiba!Imesema inauma sana? Inamuuma nani sasa. Au matumiz ya kiswahil hujui..ikuume wewe au? Au umeishiwa maneno tukufundishe. Maana moyo wako unaonekana ulivo na chuki kubwa kwa majirani zako sasa usiseme inauma kama vile unajali sana....afu kingine unachotakiwa kuulazimisha ubongo wako hadi ukubali ni hiki.. TANZANIA SIO MASIKINI. ila kwa vile ukisema mabaya ya jirani zako unapunguza stress basi endelea kupunguza ucje kufa mapema.
Nyinyi mnaposikitia KQ na kuleta ripoti mbalimbali kuhusu namna inavyopata hasara huwa mnafikiria kuhusu ATCL? Wewe ndio yule nyani asiyeona kundule
Kikwete alisema ukiona adui yako anakulaumu kwa kufanya Jambo flani na kukushauri jengine ujue unapatia....HV kwani hatujui nyie nyang'au mlivyo sabbotage air Tanzania na precisiona Air kuokoa ujing wenu...Hadi mkawa mnachewesha ndege za mizigo za klm , Turkish airlines na freighter nyengine zikija Nairobi from Tanzania halafu mizigo ikiharibika ziishie kwenu....Magu kashawaotea na Sasa maharage na nyama zetu tutaanza peleka wenyewe nje....nyie endeleeni peleka zao lenu la biashara la mirungi nyie wakora
Kwa hivyo ATCL iliazinshwa jana?? Midanganyika hazikosi vijisababuwewe ndio kundule mwenyewe sasa.
kwani KQ si ni kampuni kubwa sana[emoji23][emoji23]au leo iko sawa na ATCL!!!
Kwa hivyo ATCL iliazinshwa jana?? Midanganyika hazikosi vijisababu
IMEFUFULIWA. Asante kwa kukariri[emoji38][emoji38][emoji38]hapa umepanick
ATCL imefufuliwa 2017,baada ya kupotea.