Air Tanzania plans regional flights to Kenya, rest of EAC

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,214
79,465
Air Tanzania plans regional flights to Kenya, rest of EAC

atcl+pic.jpg

Tanzania's national carrier, Air Tanzania Company Limited (ATCL), is planning to start flying to Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi.

The airline’s managing director, Mr Ladislaus Matindi, revealed the company’s plans during the company workers’ congress, saying all routes would be active from the next financial year.

“There is a significant improvement since the government started reviving ATCL and what we are currently targeting is to improve delivery of services and increase the number of routes,” he said.

The workers congress’ chairman, Mr Emmanuel Koroso, said ATCL is an established airline, but it faced financial challenges that affected its overall business operations.

“Initiatives by the government to revive ATCL are commendable, but we are facing some challenges that can only be resolved through dialogue,” Mr Koroso said.

https://www.businessdailyafrica.com/...dpe/index.html
 
Shida sasa nasikia wameanza mambo ya kubaniana pale linapokuja suala la wafanyakazi wapya marubani.Kuna watu wameruka nje muda mrefu na wameruka ndege kubwa B737,A320s,A330s,767s n.k.sasa wanapenda kurudi kusaidia shirika lao shida iko kwa walioanza na Q400s.tunaambiwa wasaaa wanataka wageni waanze rusha Q400 na wazawa wapande kwenye CS300s na Dreamliner.tuone tusubiri
 
Nitashangaa sana kama vitu kama hivi vitatokea hapo ATCL. Kwanza marubani kuwapata ilikuwa shida, halafu walete maringo tena, sitaki kuamini.
 
Air Tanzania plans regional flights to Kenya, rest of EAC

atcl+pic.jpg

Tanzania's national carrier, Air Tanzania Company Limited (ATCL), is planning to start flying to Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi.

The airline’s managing director, Mr Ladislaus Matindi, revealed the company’s plans during the company workers’ congress, saying all routes would be active from the next financial year.

“There is a significant improvement since the government started reviving ATCL and what we are currently targeting is to improve delivery of services and increase the number of routes,” he said.

The workers congress’ chairman, Mr Emmanuel Koroso, said ATCL is an established airline, but it faced financial challenges that affected its overall business operations.

“Initiatives by the government to revive ATCL are commendable, but we are facing some challenges that can only be resolved through dialogue,” Mr Koroso said.

https://www.businessdailyafrica.com/...dpe/index.html
Who would board propeller planes while we have jet powered planes
 
Shida sasa nasikia wameanza mambo ya kubaniana pale linapokuja suala la wafanyakazi wapya marubani.Kuna watu wameruka nje muda mrefu na wameruka ndege kubwa B737,A320s,A330s,767s n.k.sasa wanapenda kurudi kusaidia shirika lao shida iko kwa walioanza na Q400s.tunaambiwa wasaaa wanataka wageni waanze rusha Q400 na wazawa wapande kwenye CS300s na Dreamliner.tuone tusubiri
Usipotoshe kuna capacity building steps that are underway including training programs huwezi kuajiri tu wakati kuna training program already underway.
 
Ww ni mtu wa aviation ? Mi najua kwan my cousin ana fly na shirika na m ni mfuatiliaji wa hiyo kitu.unasema training kwann ndege mpya imekaa sababu hakuna crew ? Wote tunapenda airline ishine lkn kama akitokea mtu anafanya ndivyo sivyo anaambiwa tu.Suala la kuwa na airline moja kwa ajili ya inter continental route tunasema litatusumbua ikitojea kuna snag kwenye hi4yo ndege.unapeleka abiria.bombardier hawana ndege ya intercontinental kwahiyo kwa kupunguza gharama suala la commonality lingezingatiwa.ingekuwa busara kununua b737-800 na -900 badala ya cs 300.pamoja na kwamba cs 300 ni ndege nzuri lkn kitaalam kuwa launch customer kwa airline yenye uwezo mdogo kama yetu haishauriwi
 
Usipotoshe kuna capacity building steps that are unditazalisha marubanrway including training programs huwezi kuajiri tu wakati kuna training program already underway.
Ni vizuri kujenga local capacity, lakini baada ya kama miaka kumi hivi ndo program ya kutrainitazalisha marubani wa kupeleka 4thGen wide body commercial aircraft kama Boeing 787-8, ama sivyo nchi nyengine zataanza kukataa ndege zenu zitue nchi zaokwasababu ya safety concerns
 
Ww ni mtu wa aviation ? Mi najua kwan my cousin ana fly na shirika na m ni mfuatiliaji wa hiyo kitu.unasema training kwann ndege mpya imekaa sababu hakuna crew ? Wote tunapenda airline ishine lkn kama akitokea mtu anafanya ndivyo sivyo anaambiwa tu.Suala la kuwa na airline moja kwa ajili ya inter continental route tunasema litatusumbua ikitojea kuna snag kwenye hi4yo ndege.unapeleka abiria.bombardier hawana ndege ya intercontinental kwahiyo kwa kupunguza gharama suala la commonality lingezingatiwa.ingekuwa busara kununua b737-800 na -900 badala ya cs 300.pamoja na kwamba cs 300 ni ndege nzuri lkn kitaalam kuwa launch customer kwa airline yenye uwezo mdogo kama yetu haishauriwi
Unasema una cousin yako akuambie ya ukweli, hakuna airline itakukabidhi ndege yake kama inajuwa hakuna qualified people to work on their aircraft. Moja ya vigezo vya bei ya kuuziwa ndege ni pamoja na knowledge transfer. Huwezi kuwa na ndege inayofanywa kazi halafu ukiweka tu, ndege zimetengenezwa ziruke sio zikae chini. Ukiona ndege mpya imekaa sio kama hakuna wa kurusha, there so many factors to consider including call sign registration and test flights. Ilibidi kuazima watu toka JWTZ to train and take over civilian aircraft wakati were building our own capacity wewe unasema eti wanaringa.
 
it's cheaper to train n retain rather than hiring a polished diamond already. It costs a fortune to a comeback company trying like ATCL. Na isitoshe order for another dreamliner has already been placed.
 
Bei ya ndege inajumuisha na slots za mafunzo na kwa Q400 najua ni nafasi 8 za kila ndege hivyo kwa 3 tuna marubani 24.zaidi ya hapo ni dola 35000 kwa mtu mmoja.Commonality inasaidia kwa kampuni kama airbus na boeing kwani cockpit za ndege zao zina mfanano mkubwa na hivyo gharama za kutoka ndege moja kwenda nyingine zinakuwa nafuu sana.Lkn sio shida kama pesa ipo watu watakwenda type rating tu lkn serikali ina kauli mbiu ya kupunguza matumizi hivyo hatuhitaji kutapanya pesa.Mwen ye muda aangalie youtube handover ceremonies za ndege hata za jirani zetu Kq au ethiopean.Inaruka toka us,canada au brazil tayari inaregistration na ukaguzi umeshafanyika na usajili ushafanyika huko huko. Hata hii yetu mpya tunajua tayari namba yake kuwa ni five hotel tango charlie echo.Wengi hapa watadhani ferry flight ni bure ile inalipiwa .Ilikotokea air tanzania tusitegemee faida ktk miaka mitano hii ya kwanza na kwa wanaofuatilia financials za ATCL unaona kabisa loss zinapungua kwa kiasi kikubwa sana na hili ni jambo la kupongeza.Nilichotaka kufikisha ujumbe hapa ni kwamba ndege hii na zinazokuja zinahitaji marubani wengi sana.Tushirikiane tujenge Shirika.Rais anapotutaka tushirikiane naye kujenga nchi ni pamoja na kutoa mawazo yatakayowezesha kusogeza nchi yetu mbele.Hakuna mwenye nia ya kutaka kupotosha hapa
 
Hii ni habari njema kama ni kweli kwamba "order for another dreamliner has been placed" .
 
marubani unaotetea wewe night Wale wa kutimiza flight hours na wagharama. Mimi binafsi napendelea capacity building at home kutegemea foreign pilots is costly n unsustainable. And u can't just ignore the current pilots that have been with the airline even with one aircraft n go for let's say KQ pilots that are known to be kings n queens of strikes. Plse acha hii maneno..
 
Air Tanzania plans regional flights to Kenya, rest of EAC

atcl+pic.jpg

Tanzania's national carrier, Air Tanzania Company Limited (ATCL), is planning to start flying to Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi.

The airline’s managing director, Mr Ladislaus Matindi, revealed the company’s plans during the company workers’ congress, saying all routes would be active from the next financial year.

“There is a significant improvement since the government started reviving ATCL and what we are currently targeting is to improve delivery of services and increase the number of routes,” he said.

The workers congress’ chairman, Mr Emmanuel Koroso, said ATCL is an established airline, but it faced financial challenges that affected its overall business operations.

“Initiatives by the government to revive ATCL are commendable, but we are facing some challenges that can only be resolved through dialogue,” Mr Koroso said.

https://www.businessdailyafrica.com/...dpe/index.html
Key word PLANS :D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom