Air Tanzania: Ndege iliyonunuliwa imeharibika, mainjinia zaidi ya 50 waneshindwa kutengeneza

Status
Not open for further replies.

gatekeepertz

Senior Member
Aug 14, 2016
180
236
Bombadier moja imeharibika miezi sasa haifanyi kazi. Tunaomba wabunge muhoji issue ya hii Bombadier. Hizi ndege tuliambiwa ni brand new iweje leo ipaki.?

Screenshot from 2017-06-11 12-36-39.png


Mainjinia karibu hamsini wameshajalibu kutengeneza iyo ndege imeshindikana wameamua kuiacha tu ni kitambo sana imepaki tu.

=====
Kwa ufafanuzi toka kwa Ndg. barafu, soma Ukweli kuhusu ndege ya Air Tanzania "kuegeshwa" bila kuruka
 
Uongo, labda useme hakuna pesa ya kutengeneza. Dunia hii kisichotengenezeka kikiharibika ni roho tu.
Acha uongo na upuuzi wa kutukana watu.. ukweli huweka watu huru na hutoweza kuuzuia. . Raisi alisema tawala zilizopita hana la kuwafanya ila makosa yao lazima tuyafahamu walichotufanyia. Sasa kama ndege bovu hutaki tufahamu? Au hadi utawala ujao? Wewe kaa kimya au jitoe humu kama unakereka na news
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom