guys ,msilalamike sana sana,sijaona kosa la hao airhostess,kabisa kabisa,na sababu zifuatazo
nimeona wamelalamikia swala la kumsaidia mizigo akiingia kwenye ndege
1)hiyo swala la mzigo ni la ground handling ambapo kwa pressicion air ni wao pekee waanajihandle
hivyo ni jukumu la pression groundling plp kuakikisha abiria ameingia ndani na mizigo yake amewekewa sehemu husika crew kazi yake ni kuonyesha sehemu inayotakiwa........,crew aruhusiwi kabisa kabisa kushika mzigo wa abiria ama kumshika abiria..,na hili ni kutokana na kesi yoyote mgonjwa akiumia ama kupata janga lolote anaejibu kesi ni crew,n hiyo ni moja ya DEBRIEFING ya crew kabla ya kupanda ndege
Kuuhusu mkanda,crew anatakiwa kumwonyesha abiria jinsi ya kufnga mkanda na ajifunge mwenyewe....,