uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,481
- 928
Nauza AC imetumika miezi 3 na wiki 2. Bei laki 4.
Nipo tangibovu.
Kwa mawasiliano zaidi: 0713961638.
Nipo tangibovu.
Kwa mawasiliano zaidi: 0713961638.
Namba yangu whatsapp ni 0713961638namba yako haipatikani whatsapp, kama una namba ya whatsapp nipatie please.
Mkuu bei yangu ya mwisho ni laki 3 hapo sitoi hata mia.Nina 200000 nicheki
Ipo mkuu. 0713961638Bado ipo?
Nakupa 275000Mkuu bei yangu ya mwisho ni laki 3 hapo sitoi hata mia.
AC uko vizuri haijatumika sana... Naiuza kwasababu nahama.
Ndugu hela naitaka lakini kwa hiyo bei inaniumiza kwani bado kuna gharama za kuisafirisha hadi saiti kwako.Nakupa 275000
Yes ipo. Nicheki 0713961638 tufanye biashara hata leo hii naamini ukiiona wala hutojishauri mara mbili kulipa.Mkuu hiyo Ac bado ipo?
Niko serious.
Ni Horsepower ngapi?
Kama ni 1.5hp na haina tatizo lolote nitaichukua.