Aina za watu tunaobishana nao mitandaoni

Umesahau kuweka vile ambavyo wamekuwa na msimamo kuhusu kupinga mkataba mbovu wa bandari.. vilevile umesahau kusema kuwa hawa great thinkers hawapingi uwekezaji.. isipokuwa mkataba Ni WA kikoloni na mwenye Akili timamu hawezi ukubali..

Vilevile usijesema hawakusema kwamba Tanesco inafanyiwa hujma ili waweke wawekezaji WA mchongo siku Si nyingi before uchaguzi..
 
Tatizo lako wewe unataka tujadili mtoa hoja badala ya kujadili hoja. Ndiyo maana hata katika sakata hili umeamua kuunga mkono mkataba wa DP World kwa vile unaamini umetoka na kusainiwa na watu wa imani yako na siyo kwa maudhui yake.

Hao unaowashangaa waliunga mkono hoja ya JK yenye maudhui ya kutaka kukubali kukosolewa na wanaipinga hoja yake kutaka kutenganisha dini na siasa ambayo ina nia ovu ya kutaka kunyamazisha watu.Ungekuwa wewe ungekubaliana na JK kwa hoja zote mbili kinzani kwa vile tu ni mtu wa imani yako. Tujadili hoja bila kuangalia imetoka kwa nani.
 
katika nyuzi hua natoka kapa ni hizi za bandari na vita ya urusi na Ukraine
 
New zero brain in town!!!


Watakuheshimu wanaokujua kipindi unawapa nondo ila sisi march intake tunakuona zwazwa tu maana tumekukuta ukiwa chawa
 
JF ni jukwaa linatoa nafasi sawa ya kutoa comments kwa kila mtu kwa thread yeyote. Members wa JF ni kuanzia primary school standard seven leavers to professors, mainjinia kwa madaktari, wapiga debe kwa mawaziri, nk.

Sasa katika kusoma comments expect anything, pamoja na mpiga debe kumkosoa professor wa uchumi kwenye thread inayohusu uchumi. Tena professor anaweza kutukanwa na mpiga debe kuwa ni mjinga hajui kitu kuhusu mambo ya uchumi.
 
Back
Top Bottom