Aina za wanaume ambao huwa changamoto kwa wake zao

Ukipata mwaume ambaye Hayupo kabisa kwenye kundi lolote Jua unaishi na malaika ila ishi kutokana na mapungufu ya mwenza wako maisha yaende vinginevyo utaona ndoa chungu
 
Kwa hiyo ndo mkitusevia msosi mnatoka ili tuoshe vyombo?
 
Nipo namba Moja ndio maana nimemruhusu kuweka housegirl.
 
Kwa hiyo ndo mkitusevia msosi mnatoka ili tuoshe vyombo?
You are missing the context here big man.
Soma vizur hoja za watu wengine na nlichoandika utaelewa vzuri.
Kama hupendezwi kusoma basi inshort jibu kwa swali lako ni Hapana.
 
You are missing the context here big man.
Soma vizur hoja za watu wengine na nlichoandika utaelewa vzuri.
Kama hupendezwi kusoma basi inshort jibu kwa swali lako ni Hapana.
Was just teasing around miss independent,

BTW mumeo ni kundi ganiii hapo?
 
Tupe na sifa za wanaume ambao sio changamoto
 
Dah namshukuru mungu sina sifa hata moja hapa
 
Kwa Majibu haya. Natafakari upya juu ya uzao wa nyoka.
 
Mimi ni bahili sana na mgumu mno ila siyo kwa mwanamke anaye nipenda. Kuna nana mwanamke akiniweka ile kauli ya hakuna mkate mgumu mbele ya chai naona kabisa inanihusu ila ndiyo hivyo na kaza fuvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…