Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,958
● Utajiri wa kutoa kafara ya damu mfano kutoa wazazi, mtoto ,ndugu au mke wako
● Utajiri wa punje , huu ni utajiri ambao unaupata baada ya kuku kula punje kama akila punje moja na nusu basi utajiri wako utakuwa wa mwaka mmoja na nusu na km asipokula ndo ishaisha iyo
● Utajiri wa kibegi mtu anakuwa anatembea na kinyoka kidogo kwenye begi kadri nyoka anavozidi kukua ndivyo na utajiri unazidi kuongezeka , hicho kibegi unakuwa unatembea nacho mgongoni kila unapopita ukifika nyumbani fungua mkoba unakuta manoti yamejaaa , kwaio usione watu kila siku yeye na kibegi awe popote pale haachi kibegi .
● Utajiri wa majini huu sina experience ila upo
● Utajiri wa kumfanya mwanao msukule huu upo sana kanda ya ziwa huko simanisha hapa dsm haupo upo katika unakuta mtoto mmoja wao ni kama zezeta fulani hivi
NB: sio kila mtu anaweza kupata mali za haraka fanya kazi