Kuna upendo umekosekana hapo haujauweka, Sijui unaitwaje kitaalam ila ni ule upendo wa vitu, yaani nakupenda kwa sababu napata kitu fulani kwako au una kitu fulani, huu ni tofauti na pendo hizo tatu, mfano mwingine nampenda kwa sababu anaumbo namba nane mwingine six packs, pesa mali hali kadhalika.