[QUO TE=mabiki;8277535]Jamani kuna aina za upara. Wengine wanasema kuna upara wa hela na upara wa akili.wengine wanssema upara wa mikosi. Je hizo hizo para zinakaa wapi.wana jf nielezeni hizo para na maana zake kwa wale wanojua[/QUOTE]
Wewe Uko na para ipi?