Aina za hasira za wanawake

Where is reference
 
Wapo wanaokutwa na yote hayo
 
Mi binafsi huwa ninalia na kucheka ila kwenye kulia sauti haitoki ni machozi tu na ghafla napata hali ya kucheka😢😢
Huenda naanza pata uchizi bila kujua ila nikikasirika hali zote mbili lazima nizipitie
 
Mi napiga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wote Afadhali:15,Akikasirika anamkumbuka bwana wake wa zamani Siku hiyo hata kama yupo Marekani atalipiwa nauli aje kulala nae na gharama zote kwake! Eti anakukomesha hahahahaaaaaaaaa.......
16,Akikasirika anakuendea kwa mganga Asipokutoa roho yako ataifanya dudu yako anavyojua yeye(hii kwa washirikina Tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…