Ww unafanyaje ukichukia?Wengine wanakula sana
Ww ni mwanamke!?
Hapo lazma ukome kuringa mzee, bila mcheps ndoa yako ni ya mateso sana. Huruhusiwi kufeli maana hali itakuwa tete.Wangu saba
Onga mndee...ni nyingahi?No yangu ile najiona mm kabisa
Ni ya bosi mghoshi [emoji85][emoji85][emoji85]Onga mndee...ni nyingahi?
HahahahNi ya bosi mghoshi [emoji85][emoji85][emoji85]
MKEO YUKOJE??
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!
5. Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye!
6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao!
7. Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote!
8. Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!
9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika!
10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!
11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha!
13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.
14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi.
WEE UKO KUNDI GANI AU MKEO YUKOJE??
Sent using Jamii Forums mobile app
15. Mwengine huamua kwenda kugawa uroda nje ili akukomoe, tena ikiwezekana kwa wale wanaokujua ili ukijua uumie zaidi.1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!