Nashukuru sana mkuu walau nimepata mwanga,nilikuwa napitia nwebsite yao kuna bei lakini hakuna maelezo ya kutoshaAs far as i know,
Cover max na max cover yote ni mabati ya migongo mipana, yote ni viwango vya rangi isio pauka. tofauti ni
1. Max cover inaupana wa mita moja wakati covermax inaupata wa cm 80 (common width)
2. Max cover inaanzia gauge 28,hakuna g 30, ila covermax unapata nadhani hafi g32.
3. Maxcover haiuzwi kwa bando, unaamua ukatiwe mita ngapi ngapi, unaweza taka bati zako ziwe na urefu wa mita 3 hadi mita sita lakini covermax ni urefu wa fixed, yaani mita 3, na huuzwa kwa bando ambapo bando inakaa bati 12,
4. Bei ya max cover imechangamka kidogo kuringanisha na covermax, for obvious reasons.
Ila mimi sio staff wa Alaf,kwa maelezo zaidi ni rahisi, fika kiwandani maeneo ya TAZARA, epuka matapeli pale kwenye vile vibanda, utauziwa bati feki.
Tembelea ofisi Za ALAF Zilizo karibu nawe mikoa ya Mwanza, Mbeya Arusha, Dodoma na Makao makuu Dar es salama.Habari za majukumu ya kila siku,nisiwachoshe kama kichwa kinavyojieleza nataka kununua bati za kampuni ya Alaf.Tatizo nina shida ya kutofautisha aina za bati za COVERMAX na MAX COVER.
Sijui tofauti yake ni nini na faida ya kila aina.Nataka kununua kilicho bora shida sijui tofauti ya majina hayo mawili na umadhubuti wake
Nategemea msaada wenu.
Asante sana
Nashukuru sanaTembelea ofisi Za ALAF Zilizo karibu nawe mikoa ya Mwanza, Mbeya Arusha, Dodoma na Makao makuu Dar es salama.
Au piga simu hizo hapoo Chini Kwa huduma ya uhakika na salama
Google Maps
Find local businesses, view maps and get driving directions in Google Maps.www.google.com
Ulishaezeka? Ulitumia bati gani.....Naipenda rangi ya bati ya karoti lakini nimeambiwa inapauka haraka sana,msaada tafadhali wenye uzoefu na rangi hizo za mabati