Kuna Wanawake Wana Kazi Zao na Wana Hela, Kuna Wanawake Kwao Wako Vizuri, Yani Pesa Zipo. Kuna Wanawake Wanajua Kutafuta Pesa, Hata kama Hawana Kazi.
Pia Kuna Wanawake Hawajitumi, Wao Ni Kuomba Hela tuu. Wanawake Wote Hao Wana Umuhimu, Ni Wewe Mwanaume Kuchagua tuu[emoji41][emoji276]