Kwa sh 150,000 - 250,000
naweza pata simu aina gan nzuri,
iwe ya tachi, isurf JF vzr, na chaji itunze.
Ahsanten wadau.
Kwa sh 150,000 - 250,000
naweza pata simu aina gan nzuri,
iwe ya tachi, isurf JF vzr, na chaji itunze.
Ahsanten wadau.
hy h6 uwezo wake kwenye kuplay magame yeny size kubwa km asphalt 8 na kwny camera ukoje?!Ziltan
Kama ni TECNO - Chukua H6 tsh 190'000
Kama ni HUAWEI - Chukua Y530 tsh 195'000
Kama ni SAMSUNG - Chukua galaxy S2
Kama ni MS LUMIA - Chukua Lumia 530 AU 630
hy h6 uwezo wake kwenye kuplay magame yeny size kubwa km asphalt 8 na kwny camera ukoje?!
thanx kwa majbu chiefyap inaweza sema tu haitakuwa hd