Aina ya mwanamke asiyeachika

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,668
Reaction score
167,612
By Irene Mbowe

AINA YA MWANAMKE ASIYEACHIKA.....
NII HII HAPA.
Anajua mapenzi.
Anajua kusaka pesa.
Anajua madiko na
Anajua Kumtafuta Mungu.
We call it MKE MWEMA.
BALANCE DIET YAKE IMEBALANSIKA HASAAA.
Wewe kazana kukatika tuuu alafu usisake pesa ama usiombe uone kama Kiuno kinatunzaga ndoa.
Mbona Makungwi wale WANAACHIKA KILA UCHAO KAMA KIUNO NI NDOA.
Kule Fb nawaambiaga wasikose magnesium na jivu kuzuia Kiungilia.
Maana post zangu kuna saa zinaletaga kiungulia.
 
Mada ni nzuri lakini, hivyo ni vigezo vya upande mmoja, mwanamke anaweza kuwa na sifa zote hizo na kuzidi lakini anawezekana kuwa mwanaume hana huo mda wa kutambua na matokeo yake akageuza kama ndio fimbo ya kumpigia.
Kwa maoni yangu vitu vinavyoweza kudumisha ndoa.
1. Ni hofu ya Mungu kwa kila mmoja. Kila mtu kama akawa na hofu ya Mungu itasaidia kupunguza baadhi ya matatizo yasiyokuwa na lazima.
2. Kuwana upendo wa dhati kwa pande zote mbili. Yaani kusiwe na "one side love" hiyo huwa inasaidia kudumisha upendo na kuufanya upendo usichoshe upande mmoja
3. Kuruhusu upendo wa Mungu ndani yenu wote. Hii inasaidia pale mnapofikia mahali hata kumwambia mwenzio nakupenda Yaani umefika mahali hadi mnajiuliza hivi nimekuoa au nimeolewa kwa lipi.. au nilikupendea nini.. hapo ndio upendo wa Mungu unakuwa na nguvu.
4. Kumuona kila mmoja ni wa thamani kwako. Hii inasaidia pale unapofanikiwa mambo yako lakini bado utatambua kuwa huyu mpz wangu amechangia kwa sehem kubwa kuwa hivi nilivyo.
. 5. Kutambua uwezo na udhaifu wa kila mmoja wenu.
Mwisho wa siku upendo ni kwa wote na sio upande mmoja
 
Mkuu Bujibuji umenikumbusha mwanamuziki aliyewahi kuwika akitokea Mombasa Kenya miaka kadhaa ilopita. Inomizizi na wimbo maarufu.. "Kiuno Viuno" hatari.
 
Usisahau na mwanamke mtaalam wa limbwata, kumuacha huwezi
 
nilikua nje ya jf kama miez mitatu hv, yupo wap BBB na vijimada vyake? Japo nimemkuta mtu flan anajiita Kiben10 napata shaka kdg
 
Shogaangu hahhahaa staki nicheke mie asbh hii,.me natimizaga wajibu wangu kila angle,.kazi kwake kutulia au kupaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Hongera kwa kutimiza wajibu wako, hayo mengine yako nje ya uwezo wako
 
Hongera kwa kutimiza wajibu wako, hayo mengine yako nje ya uwezo wako
Kwakweli,.hayo mengine ni wao na roho zao wasije kusema ooh nimeruka sijapikiwa vzr,sijui nini...wajibu tutatimiza tuu ikibidi.[emoji4]
 
Naona nasi mashababi tunapewa-
'Chikenipati' sasa, Tena bila kupenda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…