upo sawa mkuu lakini tukumbuke kuwa wanawake ni waigizaji sana,hivyo anakuangalia wewe ni mwanaume wa aina gani kisha anaamua acheze vipi na wewe,maisha yao ni sanaa
upo sawa mkuu lakini tukumbuke kuwa wanawake ni waigizaji sana,hivyo anakuangalia wewe ni mwanaume wa aina gani kisha anaamua acheze vipi na wewe,maisha yao ni sanaa
Sio kweli kuna mbao wameumbwa kufurahisha dunia, hawa hata majuu wapo, huwa hawana dhambi kabisaa kwani si wanyimivu hila fedha yako tu, wako wengine kazi yao wanajigaragaza tajiri linaweka chakula juu yake mpaka linamaliza msosi tajiri akiridhika anapewa tip yeye analipwa na hotel kama mshahara
Uhakika ungekuwepo sawa...sio ninyi kila siku mnapiga makelele hum eti si mahusiano yote yanapelekea ndoa....tusifikirie ndoa tunapoingia kwenye mahusiano...viumbe ninyi hamtabiriki....leo wa bluu kesho wa kijani...pliiz mtuwache tulale
mkuu hili halitofautiani sana na kundi la kwanza,tofauti ni kwamba kundi hili halina gharama kama kundi la kwanza.ukitaka kumiliki kundi hili utajifia mwenyewe.utawezaje miliki kiti cha daladala?