Usikariri mkuu. Baadhi ya Wazazi nao wanaweza kuwa majani uchumi wako ukiyumbaWatu mizizi a.k.a Wazazi
But ili dunia iitwe dunia lazima kuwe na watu wa matabaka yote,na huwezi kumlaumu MTU kwa kuwa katika tabaka lile its is nature.
Kama umeshawajua ni majani ishi nao kwa akili sanaMe washkaji zangu wengi naona ni watu majani,mnatafutana kwenye ulabu,ngono,sherehe na matumizi ya pesa...
Nimejaribu sana kuwakwepa/kubadiri marafiki lakini nashindwa yaan unamkataa mtu lakin bado utakuta amepaki kigari chake uwanjani pako...inakera sana.
Sijawahi kusikia hii. Hatima yake kilimkuta nini?!Adebayo alimuamini Mama yake Kama Hakim Ila ikawa tofautiView attachment 2591648
Sasa tumuamini naniMama ali team up na kaka yake Ade kumsnitch
Mmh mimi ni mtu majani na mtu mizizi inategemea mtu amekujaje1. Watu Majani
2. Watu Tawi
3. Watu Mizizi