Aina nyingine ya uchakachuaji tuamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aina nyingine ya uchakachuaji tuamke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by upele, Jan 24, 2011.

 1. upele

  upele JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :nono:NATAMANI KULIA AU NIJIVESHE MABOMU NIENDE BUNGENI NIKAJILIPUE MAAANA NIMEPITA PITA KWA NJIA NIMEONA VIJANA WENGI WAKICHIMBA MITARU NA KUWEKA HAKO KA WIRE CHA MAWASILIANO NIKABAATIKA KUKAONA HAKO KA WAYA ETI WANATAKA KUFANYA URAHISI WA MAWASILIANO HIVI JAMANI NI KWELI TUNAELIMIKA AU VIPI KWA KWELI SIJAONA LOGIC YA KUWEKA KAWIRE CHAO CHA KICHINA CHA MAWASLIANAO KULIKO SETILITE DISH INGEKUWA BORA,TUNASOMA ILI KUFANYE AU TUGUNDUE NINI WATANZANIA
  BASI MMOJA WA MABOSS WA KICHINA ALIJICHANGANYA NA KUNIAMBIA SASA VYETU VIMEISHA TUNAKUJA KULA KWENU NILISHANGAA SANA KUSIKIA KAULI HII.JE WATANZANIA IMANI NA SERIKARI HII IPO?
  cONQUEST-MTU MZIMA AKIAHARISHA HADHARANI INAKUAJE.....:nono:
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  those are fibre optics mkuu zitasaidia sana satellite peke yake haifanyi kazi ni kama unasema tuwe na highways peke yake bila barabara ndogo na vichochoro..., we ngoja ikikamilika mwenyewe utapenda kitu broadband itakuwa issue ya kawaida
   
 3. upele

  upele JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu kunakusoma na kuelimika umeiyona hiyo cable yenyewe then ilipo pita mtu akiamua kufanya hujuma itakula kwa nani jaribu kuwa great thinker kama kweli umeelimika au nawe ndiyo hao hao just look red words
  Conquest-IFF THE FOOL WHER SLEEP DONT AWAKE THEM ALWAYS AWAKE THEN WHEN THE SUN HAS GONE:pizza:
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mhh sijakuelewa hujaelewa nini? kwani hujui maana ya mkonga wa mawasiliano??? hawatumii tena satelite dish hii ni teknlogia ya kuungaisha nyaya moja kwa moja na ni rahisi kuliko kutumia satelite kaka walituambia viongozi wetu akiwemo JK.Huu umeunganisha afrika mashariki,africa kusini na nchi nyinginezo zikiwemo za uarabuni kwa ufupi tafuta habari hizi kwenye google.lakini mkonga huu umekuwa na matatizo mengi ingawa ndio kwanza umeingia nchi nadhani mwaka jana na kampouni ya SEACOM.mi si mtaalamu wa haya mambo mwenye kujua zaidi atujuze.
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu sijui nianzie wapi..., internet mawasilano kutoka point A to B yanapita njia nyingi satellite telephone lines etc. sasa kabla ya fibre optic yalikuwa internally yanapita kwenye njia za simu, lakini gateway.. from Africa to Europe/US ilikuwa ni through satellite. Sasa huu mkonga baada ya kuuweka it means kwamba kwanza badala ya kutumia waya za simu itatumia fibre optic (ambayo signal ni in terms of light which is faster) na kutoka gateway from africa itakuwa inapitia huu mkonga as well as satellite.

  In short ni kama Highway (barabara) nyingine ikijengwa that means magari yatapita kwa urahisi zaidi. Sasa jinsi ya wanavyouweka thats another story... By the way Am I Still A Fool Or You Have Changed Your Mind
   
 6. c

  chotimemba Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekupata mkuu wangu wewe nadhani ni kati ya wale watu ambao hawana imani na kila kitu kinachofanywa na serikali, hayo ni mambo tekelinalokujia mnyonge mnyongeni haki yake........
   
 7. upele

  upele JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NAJUA WATANZANIA WAJUAJI SANA ILA NOTHING NA WABISHI SIJUI TUMELISHWA NINI AU MWENGE UNAOPITA NDIYO UNATUPUMBAZA OK MIE SINA MENGI NAWAACHA NA AKILI HIYO HIYO ILIYOPO VICHWANI MWETU BALI AS TIME GOES ON UNANISOMA I HAVE FULL DOCMENT BUT I CAN RELEASE NA PESA ZENU FEKI HIZO ZIPO
  cONQUEST-UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO:shock:
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika na part ya serikali kwenye hili kama ni that positive am sure wangekuwa wanafanya kazi inavyotakiwa mradi ungeshamalizika na kuuleta mkonga through atlantic sina uhakika kama waliplay any part..... lets give credit only when its due and not willy nilly
   
 9. upele

  upele JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HAKI KWA MUNGU SIO SERIKALI YAKO KAMA UNAVODHANIA EBU FIKIRIA HILI THEN UTAJUA UPO UPANDE GANI HIVI WATOTOT WAKIMASIKINI WASOME MPAKA LEVEL GANI WAPATE HAJIRA KAMA HAO WAKWAO :shock:
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  unataka kila mtu akubali hoja yako hata kama haina mashiko!!
  Inawezekana upo sawa kwa unachokifikiria lakini jaribu kutushawishi na sio kuishia kulalamika na kutoa maneno ya karaha.
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I have never been more confused in my life........ Hivi hapa tunaongelea kwamba mkonga haufai au jinsi mkonga unavyowekwa ndio haufai au kwanini wachina ndio wanauweka na sio watanzania ebu fafanua ndugu yangu sababu nimeanza kupata mashaka kwamba labda lager ndio zinaongea
   
 12. upele

  upele JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aLL IN aLL at the judgement day
  Conquest-good die young so you wanna die Make followup on tz ishues:kev:
   
 13. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  mkuu twende polepole tuelezane niambie ni wapi nimekosea..... As my Motto says...stolen from Socrates "AM THE WISEST MAN ALIVE, FOR I KNOW ONE THING, AND THAT IS I KNOW NOTHING"
   
 14. upele

  upele JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polep pole ndiyo siitaki kabisa maana sie tunaambiwa kilimo kwanza wao wanavuna mapesa labda nikupe na hili then utakuwa na fikra hivi kwanini pesa zimebadilishwa wakati nchi ikiwa katika kipindi kigumu cha misukosuko ya hapa na pale je unajua why?basi zama deep utajua why na pesa zenyewe zina mashaka zinatoa rangi kama superdip:kev:
  Conquest-u can be alive but like tambara la deki just kusafisha nyumba na kulala nje
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu hapa tatizo tunachanganya issues..., nakubaliana kabisa na wewe kwamba hii serikali haifai na ni wezi ambao we can do without.., lakini hii issue ya fibre optic cable through Atlantic Ocean sio kazi ya serikali hii peke yao (haina ubavu huo) ni wadau tofauti ambao wamejiunga...
   
 16. upele

  upele JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa hilo nalijua sana je upo level gani ktk elimu labda naweza nikakupa ka data fulani then ukifanyie kazi the utakubali kuwa head or tail
  Conquest-more qustion in not beter than thinking or asking more question means understanding:)
   
 17. n

  nyau Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Mie nadhani ungesema unachotaka kusema.

  Hivyo unavyo-communicate UNAKERA maana hamna kitu concrete unachosema.

  Unadhihaki tu watu.

  Discuss issues mkubwa!

  Nyau
   
Loading...