Marble na granite Tz
Member
- Jan 16, 2020
- 5
- 1
1.) GRANITE
Ni mawe yaliyo katika kundi la 'igneous' ambayo hutengenezwa kwa milipuko ya volkano baada ya kupoa kwa ule uji wa 'lava'. Huwa yana mchanganyiko wa kati ya 10% - 50% 'quartz' pamoja na 50% 'feldspar' na 'silica' kidogo. Kwa kawaida granite huwa haichubuki kirahisi, hailiwi na kutu za maji wala kemikali. Madini ya 'feldspar' ndio huipa granite rangi iliyonayo. 'Lava' ya volkano ambayo ilipoa kwa taratibu hutengeneza granite yenye chembe chembe kubwa za nakshi na 'lava' ya volkano iliyopoa kwa haraka hutengeneza chembe chembe ndogo za nakshi.
Mawe haya hukatwa kutoka katika miamba ya milima, hucharangwa na kuwa kama silesi za mkate kisha hupigwa polishi ili kuipa mng'ao wa utelezi ambapo silesi hizo za mawe hutumika kama 'top' za makabati ya jikoni, 'top' za makabati ya vyooni, 'top' za ngazi na 'finish' za nakshi katika sehemu mbali mbali za nyumba na majengo. Picha hapo chini ni mfano wa granite ilivyotumika kama 'top' za makabati ya jikoni.
2.) MARBLE
3.) SERPENTINE
4.) SOAPSTONE
5.)LIMESTONE
6.)QUARTZITE
7.)TRAVERTINE
8.)ONYX