Aina mpya ya utapeli

Hii Habari nadhani ilitokea mbuyuni Moshi. Ninahisi hivyo
 
Sure, nmejiuliza swali kama hilo, wao walitumia kiasi gn mpaka jamaa kuchanganyikiwa kuwaamini hao jamaa?
Ila tuwe makini tu maana utapeli unaongezeka kila siku na mbinu tofauti tofauti.
Na usikute walitumia hela bandia
 
Kuna mwandishi anaitwa Harlod Atu kaandika kitabu kinaitwa "MBINU ZA MATAPELI" kisome hicho kitabu ujifunze kitu, unaweza jikuta unaanza kuwa mpigaji, Nakala kibao za kitabu hicho zilichomwa moto

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una pdf tutumie ili tujikinge asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…