Aina mpya ya utapeli

Sure, nmejiuliza swali kama hilo, wao walitumia kiasi gn mpaka jamaa kuchanganyikiwa kuwaamini hao jamaa?
Ila tuwe makini tu maana utapeli unaongezeka kila siku na mbinu tofauti tofauti.
Inategemea anauza vitu vya thamani kiasi gani. Ila pia kwa pesa hiyo aliyohonga ni kwamba anafanya biashara kubwa ambayo inaleta wasiwasi kwa gharama walizutumia matapeli.
 
Sure, nmejiuliza swali kama hilo, wao walitumia kiasi gn mpaka jamaa kuchanganyikiwa kuwaamini hao jamaa?
Ila tuwe makini tu maana utapeli unaongezeka kila siku na mbinu tofauti tofauti.
M3 Hadi nne ndani ya wiki moja na Usha zoea kuuza laki mbili laki tatu siku unaona paaa ........mauzo m ....hauta data....?
 
mm nauza Duka stage ya kuniambia twende tukaonge pembeni apo apo ningemkataa..
Umeona eh! Hapo ndo alipoanzia kupigwa. Unatokaje dukani kwako eti ukaongee na mtu wala hata humjui? Ajali huwa zinatokea sawa Ila kuna kitu pia kinaitwa contributory negligence kwenye Sheria. Muhimu hapa wanandugu tisijihusishe na watu wageni kwa haraka. Wengi wameshaumia.
 
Huyo jamaa yako tamaa ndio imemponza alitakiwa awe na msimamo kwamba hatumii dawa yoyote hivyo asingekubali kuchukua chochote na kwenda kukifanyia kazi sijui kujaribu lakini alivyokubali tu ikawa biashara imeisha.
 
Wazee Wa Kitonga
 
Wewe na bro wako wote hamnazo
 
Wamempiga marination vizuri akajaa wakampasua
 
Kuna video zipo YouTube za mchungaji mstaafu wa hiyari KKKT anaitwa Richard Hananja ana mafundisho mazuri sana juu ya maisha na utafutaji wa kipato.

Tamaa mbaya sana
 
Siwezi kukataa matapeli wakikuundia tume kama una tamaa hutoki
mimi walinikabidhi SUZUKI vitara funguo siku 4 natembea nayo gari imepaki dukani mbele hapo
hao jamaa hawafai
 
Siwezi kukataa matapeli wakikuundia tume kama una tamaa hutoki
mimi walinikabidhi SUZUKI vitara funguo siku 4 natembea nayo gari imepaki dukani mbele hapo
hao jamaa hawafai

Mkuu jazia nyama kidogo tuelewe
 
"Easy comes, easy goes", pole nyingi kwa mhusika.🙌
 
Siwezi kukataa matapeli wakikuundia tume kama una tamaa hutoki
mimi walinikabidhi SUZUKI vitara funguo siku 4 natembea nayo gari imepaki dukani mbele hapo
hao jamaa hawafai
Tupe mkasa huo basi
 
Mpaka umeidaka hiyo mbinu ukaileta hapa, ujue hiyo tayari imeisha- expire(imeisha muda wake wa matumizi). Kaeni chonjo, kukabiliana na mbinu nyingine ya kitapeli, kali(babu kubwa) zaidi ya hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…