Aina au makundi ya wanawake

Aina au makundi ya wanawake

More problems

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
432
Reaction score
257
Niwape pole kwa mapambano ya kujenga nchi,

Kwa mda nilioishi katika jamii kadhaa na watu niliowaona nimeona kuna aina nne za wanawake zifuatazo:

1. Wanawake ambao ukiwa naye kwenye mahusiano vitu vyako vitaenda sawa. Sifa kuu ya hawa wanawake hawaachwi, ukienda utarudi tu utakapotaka maisha yakae kwa mstari.

2. Wanawake wanaosadikika kuwa na gundu, hawa ukiingia naye kwenye mahusiano kila utakachogusa unaharibu, migogoro kuanzia kazini mpaka nyumbani. Hawa hukimbiwa sana na wanaume.

3. Kundi lingine ni wanawake ni ambao kila mwanaume atamtaka kwa ajili ya ngono. Hata amjali kwa namna gani mwanaume hatataka kumuuoa. Hawa nao hukumbukwa sana na waliotembea nao sababu ya mahaba yao. Hawapendi kuwa walivyo.

4. Wanawake ambao kila mwanaume atakayetembea naye atataka kumuoa bila kujali ameoa au la. Hata kama ameachika mara tatu mtaani humohumo atapatikana wa kutaka kumuuoa.

Ahsanteni na karibuni kwa nyongeza na uzoefu pia
 
Back
Top Bottom